Home Soka Mastaa Wanne Kuwakosa UGSN

Mastaa Wanne Kuwakosa UGSN

by Sports Leo
0 comments

Wakati kikosi cha Simba sc kikiwa tayari hewani kuwafuata Us Gendamarie ya nchini Niger imebainika kwamba mastaa wanne wa kikosi cha kwanza wataikosa mchezo huo kutokana na matatizo mbalimbali yanayowakabili,

Kocha Pablo Franco amethibitisha kuwakosa Kibu Dennis na Hassan Dilunga pamoja na Chris Mugalu ambao wanasumbuliwa na majeraha huku kiungo Rally Bwallya yeye akiwa na ruhusu maalumu kufuatia kuwa na msiba nyumbani kwa nchini Zambia.

Simba sc inakwenda kuwavaa USGN ikiwa na alama tatu mkononi baada ya kuwafunga Asec Mimosa kwa goli tatu kwa moja mchezo uliofanyika hapa jijini Dar es salaam wiki iliyopita.

banner

You may also like

Leave a Comment

Sportsleo Bongo ni tovuti ya kwanza na bora zaidi ya michezo nchini Tanzania, ikileta habari kwa Kiswahili, matokeo ya moja kwa moja, tetesi, na taarifa muhimu kuhusu soka, ndondi, riadha na michezo mingine ndani na nje ya Tanzania.

Edtior's Picks

Latest Articles

Sportsleo Bongo Developed and designed by Mediapix Limited