Connect with us

Soka

Man Utd Yapigwa na Arsenal

Licha ya kuwa ugenini klabu ya Arsenal imefanikiwa kuibuka na ushindi wa bao 1-0 dhidi ya Manchester united katika mchezo wa ligi kuu uliopigwa katika uwanja wa Old Trafford jijini Manchester.

Pierre Aubemayang aliifungia Arsenal bao dakika ya 69 ambalo lilidumu mpaka mwisho wa mchezo na kuifanya klabu yake kusogea mpaka nafasi ya tisa katika msimamo wa ligi kuu nchini humo.

Man utd imeshuka mpaka nafasi ya baada ya kupoteza mchezo huo muhimu huku ikiachwa alama tisa na vinara wa ligi Liverpool Fc.

Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

More in Soka