Ericksen Kutua Man Utd

0

Aliyekuwa kiungo wa kati wa Tottenham Christian Eriksen, 28, yuko huru kuondoka Inter Milan mwezi Januari , afisa mkuu wa klabu hiyo ya Itali Beppe Marotta amethibitisha.

Kiungo huyo raia wa Denmark amekosa nafasi ya kuanza katika kikosi cha kwanza akianza michezo minne tu tangu ahamie klabuni hapo akitokea Tottenham Hotspurs huku akiwa hajawekwa hata benchi kwa mechi tatu mfululizo.

Inadaiwa Manchester United ni moja ya timu zinazoangalia uwezekano wa kumsajili kiungo huyo mwenye jicho la pasi pamoja na uwezo mkubwa wa kufunga mabao.

Leave A Reply

Your email address will not be published.