Connect with us

Soka

Boko Asaini Miwili Simba

Mshambualiaji wa Simba Sc John Boko amesaini kandarasi ya miaka miwili kuendelea kuitumikia timu hiyo baada ya ule wa awali kufikia kikomo msimu.

Mshambualiaji huyo aliyejiunga simba akitokea Azam Fc miaka miwili iliyopita amesaini mkataba huo mbele ya bilionea Mohamed Dewji taarifa ambayo imethibitishwa na Simba kupitia mtandao wa klabu hiyo wa Twitter na Instagram.

Boko amesaini simba huku taarifa zikidai waajiri wake wa zamani walikua wakimmezea mate ili kumrudisha katika timu hiyo mchezaji huyo aliyefunga zaidi ya mabao 30 klabuni hapo msimbazi

Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

More in Soka