Undetaker Astaafu Mieleka

0

Mwanamielekea Mark Calaway maarufu kama The Undertaker ametangaza kustaafu kwake mchezo huo kupitia video iliyoonyeshwa na Shirikisho la mieleka duniani(WWE)

Undertaker mwenye miaka 55, amecheza michezo ya mieleka kwa miaka 33 baada ya kujiunga na WWF kwa mara ya kwanza mwaka 1990.

Amesema kwa sasa hatarudi tena kwa kuwa hana lengo lingine la kutimiza katika mieleka.

Leave A Reply

Your email address will not be published.