Mwakinyo Vs Carlos Kupimana Nguvu Kesho

0

Mtanzania Mwakinyo yupo tayari kwaajili ya pambano la kesho Novemba 13,dhidi ya muagentina Jose Carlos Paz aliyetua nchini Tanzania siku sita zilizopita.

Wawili hao tayari wamepima uzito kwa pambano lao la round 12 la Ubingwa wa WBF litakalopigwa ukumbi wa Next Door Arena.

Leave A Reply

Your email address will not be published.