Furry-Joshua Ameisha

0

Tyson Fury anaamini bingwa wa zamani wa dunia Anthony Joshua ni “ameisha” baada ya mshtuko wa kushindwa na Andy Ruiz Jr. Joshua, 29, aliacha mkanda wa IBF , WBA na WBO vyote katika raundi ya saba baada ya kuapata¬† majeruhi kutokana na ngumi kali kutoka kwa Andy Ruiz Jr katika pambano lilifanyika New York tarehe 1 Juni.

Akizungumza kabla ya pambano la Jumamosi na Tom Schwarz , Fury alisema Joshua hakutaka kuwa katika ulingo. “Wakati mtu hataki kuwa hapo mara moja, yeye daima kufanya hivyo na ni vigumu kurudi kupambana,” alisema Fury. Alifanya hivyo usiku huo na sidhani anataka kurudi ulingoni tena ameisha. Uliza mkufunzi yoyote wa juu ambaye amekuwa karibu na michezo,Daima Alipofika ulingoni niliona hakutaka kuwa hapo alisema Furry

Hayo yamekuja wiki mbili baada ya Ruiz kumtwanga bondia huyo wa uzito wa juu na kumpa kipigo cha kwanza cha historia kwa Joshua ambaye alikua ameomba kupambana na Furry kabla.

“Kila mtu alifikiria¬† atanipiga mimi,Ila ni kwa dunia ipi anaweza kunipiga?waliona nini?,sijui vigezo gani vilitumika na sijui kwa dunia ipi angenipiga mimi”

Fury amesema anamheshimu Joshua kama mshindi wa jumla baada ya yeye kuwa amekumbwa na mkono wa sheria katika ujana wake lakini kipigo cha Joshua kimeamsha minong’ono ya kuwepo kwa pambano kati ya mabondia hao lakini Furry alipambana na matatizo ya afya na matumizi ya madawa kwa miezi 31 anaamini Joshua atapoteza pambano hilo

Leave A Reply

Your email address will not be published.