Connect with us

Makala

Yanga sc,Azam Fc Zamgombea Ndala

Klabu za Yanga sc na Azam Fc zimeendelea na vita ya kumgombania kiungo Issa Ndalla kujiunga na timu zao baada ya kuendelea kumtafuta kwa ajili ya kumsajili.

Kwa mujibu wa watu wa karibu wa kiungo huyo viongozi wa timu hizo wameendelea kuwasiliana na timu hiyo huku Yanga sc wakiwa wa kwanza kuonyesha nia huku Azam Fc nao wakiingilia dili hilo kuangalia uwezekano wa kumsajili.

“Nimekuwa nikizungumza na Yanga ambao wao ndio walikuwa wa kwanza kunitafuta mara tu baada ya kumalizika kwa mchezo wetu wa marudiano dhidi ya Simba wakati nilipokuja huko Tanzania.

“Ukiachana na Yanga kuna timu pia inaitwa Azam ambao viongozi wao wamenitafuta kwa ajili ya mazungumzo wakiwa wanahitaji huduma yangu.Alisema kiungo huyo.

 

Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

More in Makala