Yanga Sc Yamsimamisha K/katibu Mkuu

0

Klabu ya Yanga sc imemsimamisha Kaimu Katibu Mkuu wa klabu hiyo Saimon Patrick kufuatia tuhuma za kukutana na viongozi wa Simba sc kwa lengo la kuihujumu klabu hiyo.

Shutuma hizo awali zilitolewa na mwanachama maarufu wa klabu hiyo ambaye kwa sasa ni mkuu wa Wilaya ya Rombo Athuman Kihamia kupitia Tv ya Global.

Simon amesimamishwa mpaka ili kuwezesha kufanyika kwa uchunguzi kuhusu suala hilo kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa kwa waandishi wa habari na klabu hiyo.Taarifa kamili hiyo hapo:

Leave A Reply

Your email address will not be published.