Connect with us

Makala

Wachezaji Simba sc Kuwekwa Kitimoto

Zacharia Hanspope ambaye ni kiongozi wa klabu ya Simba sc amelalamika baadhi ya viwango vilivyoonyeshwa na wachezaji wa Simba sc kufuatia kutoa sare na Yanga sc katika mchezo wa ligi kuu Tanzania bara.

Hanspope alisema kuwa wachezaji kama Chama,Rally Bwallya na Luis Miqquisone ni miongoni mwa mastaa waliocheza chini ya kiwango na kusababisha sare hiyo.

Kiongozi huyo amesisitiza kuwa wachezaji hao watawekwa kitimoto ili kuelezea hasa sababu ya kucheza chini ya kiwango katika mchezo huo.

Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

More in Makala