Connect with us

Makala

Tff Yashauriwa Kuzipa Nafuu Timu Za Ligi

Shirikisho la Soka hapa nchini Tff limeshauriwa kuzipatia mgao wa fedha vilabu vya ngazi za juu hapa nchini kutoka kwenye fedha watakazozipata kutoka FIFA.

Mkurugenzi wa Mtibwa Sugar ,Jamal Baiser amesema kuwa vilabu vingi hasa vya ligi kuu hali zao ni mbaya kiuchumi hivyo wakipata fedha hizo zitawasaidia kuendesha timu zao.

FIFA watatoa dola laki tano kwa kila mwanachama wake duniani kote ili kuwaokoa wanachama wake na anguko la kiuchumi lililosababishwa na janga la Corona.

Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

More in Makala