Songne amechaguliwa ndani ya Yanga kwa ajili ya maboresho ya msimu ujao wa 2020/2021 ndani ya ligi kuu.
Bado klabu ya Yanga haijapata kocha ila zoezi zima la usajili linasimamiwa kikamilifu na benchi la ufundi huku mazoezi yameshaanza rasmi jana na leo yanaendelea ndani ya chuo kikuu cha sheria jijini Dar-es-salaam.
Â