Shiboub Wa Simba Atimkia Algeria

0

Aliyekuwa kiungo wa Simba Sc, Sharaf Shiboub ameamua kutimkia zake Algeria na kujiunga na klabu ya Cs Constantine inayoshiriki ligi kuu nchini humo.

Shiboub amejiunga na klabu hiyo yenye mtaji wa masahbiki katika ligi ya Algeria kwa mkataba wa miaka miwili japo awali alikuwa akihusishwa kutimkia Yanga Sc.

Kiungo huyo alimaliza mkataba wake ndani ya Simba Sc msimu uliopita na alikosa kuwa miongoni mwa chaguo la kocha mkuu Sven Vandenbroeck.

Leave A Reply

Your email address will not be published.