PSG Wapewa Kichapo Cha Bao 1-0

0

PSG waliyeyushwa mazima siku ya jana na kupoteza pointi tatu baada ya kufungwa bao moja na klabu ya Marseille kwenye mchezo wa league 1 uwanja wa Parc des Princes.

Bao la pekee la Marseille lilipachikwa dakika ya 31 na Florian Thauvin ambapo lilidumu hadi mchezo ulipokamilika na kunyakua pointi tatu.

Neymar Jr wa PSG alikuwa miongoni mwa nyota watano waliopewa kadi nyekundu katika mchezo huo wa jana ambapo alionekana akizozana na beki wa Marseille huku pia akionesha tabia ya ubaguzi.

Leave A Reply

Your email address will not be published.