Home Makala Mwalala Kikaangoni Bandari Fc

Mwalala Kikaangoni Bandari Fc

by Sports Leo
0 comments

Taarifa kutoka nchini Kenya Zinadai Bandari Fc inajiandaa kumtimua kocha Benard Mwalala kutokana na mwenendo usioridhisha wa timu hiyo ambayo imekutana na vipigo mfululizo kutoka kwa Kariobang Sharks na Tusker Fc.

Vipigo hivyo vimeifanya Bandari kushindwa kushikilia rekodi ya kutofungwa katika uwanja wa nyumbani tangu novemba baada ya kufungwa na Tusker fc siku ya jumapili.

Mwalala aliyeiongoza Bandari kuchuku kikombe cha FKF huku akimaliza nafasi ya pili ligi kuu nchini humo kwa misimu miwili mfululizo anasubiri mkutano wa bodi ya timu hiyo ambao utathibitisha kutimuliwa kwake japo pia inadaiwa badi hawajakubaliana na timu hiyo kuhusu malipo ya kuvunja mkataba huo.

banner

You may also like

Leave a Comment

Sportsleo Bongo ni tovuti ya kwanza na bora zaidi ya michezo nchini Tanzania, ikileta habari kwa Kiswahili, matokeo ya moja kwa moja, tetesi, na taarifa muhimu kuhusu soka, ndondi, riadha na michezo mingine ndani na nje ya Tanzania.

Edtior's Picks

Latest Articles

Sportsleo Bongo Developed and designed by Mediapix Limited