Molinga Wa Yanga Aanza Mazoezi Zesco

0

Mchezaji wa zamani wa Yanga Sc, David Molinga ameanza mazoezi na timu yake mpya ya Zesco ambayo amejiunga nayo msimu huu wa 2020/21 baada ya kuagana na kikosi cha Yanga msimu wa 2019/2020.

Molinga alikuwa kinara wa utupiaji kwenye kikosi cha msimu wa 2019/2020 kilichokuwa chini ya kocha mkuu Luc Eymael.

Mchezo wa mwisho wa Molinga akiwa kama mwanajangwani ni ule wa uwanja wa Samora, Iringa ambapo alipachika bao lake la 11 na kuifanya Lipuli FC kupoteza matumaini ya kubaki ndani ya ligi kuu bara jumlajumla.

Leave A Reply

Your email address will not be published.