Connect with us

Makala

Manara Afunga Ndoa

Msemaji wa klabu ya Yanga sc Haji Manara amefunga ndoa ya pili siku ya Alhamis jionihuku watu wachache wakihudhuria ndoa hiyo ambayo inasemekana imekua ya siri zaidi na ikiwa haina mbwembwe nyingi.

Katika harusi hiyo miongoni mwa watu waliokuwepo ni wasanii wa filamu nchini wakiongozwa na Batuli,Hamisa Mobeto,Jike shupa huku mwanadada Zamaradi Mketema naye alihudhuria.

Taarifa za ndani zaidi zinasema ndoa hiyo imefungwa baadaya ndoa yake ya awali kuwa na migogoro ya hapa na pale kiasi cha Manara kuamua kuoa mke wa pili ili kuongeza faraja zaidi.

Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

More in Makala