Connect with us

Makala

Man Utd Yaitikisa Barca

Manchester United huenda wakamnasa straika asiye na furaha Beyern Munich, Roberto Lewandowski ambaye dili lake la kwenda Hispania kwenye klabu ya Barcelona linaonekana linaenda kufeli.

Awali straika huyo aliweka wazi anakotaka kwenda na kuitaja Barcelona, Hata hivyo, kilichopo kwa sasa ni Barca imsajili, inatakiwa iuze baadhi ya wachezaji wa kikosi cha kwanza kupata zaidi ya Pauni 20M za kumsajili pamoja kupunguza bili ya mshahara.

Lewandowski ameonyesha nia ya wazi ya kuondoka Bayern Munich akisaka changamoto mpya baada ya kukaa hapo kwa misimu kadhaa akitokea kwa wapinzani Borrusia Dortmund na baada ya kufanya vizuri klabuni hapo akitwa mataji ya kutosha ya Bundesliga amemua kuondoka huku ndoto yake ikiwa ni kujiunga na Barcelona kama chaguo la kwanza.

Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

More in Makala