Connect with us

Makala

Makonda Atimiza Ahadi

  • Avatar

Mkuu wa mkoa wa Dar es salaam Paul Makonda ametimiza ahadi aliyoiahidi ya kumzawadia shilingi milioni 10 kipa wa taifa stars Juma Kaseja kufuatia kiwango bora alichokionyesha dhidi ya Burundi na kuihakikishia ushindi kwa taifa stars.

Kaseja aliyeibuka mchezaji bora wa mechi hiyo aliahidwa kiasi hicho cha fedha na makonda kama sehemu ya motisha kwa wachezaji hao wa timu ya taifa na leo  fedha hizo amekabidhiwa rasmi mbele ya kocha wa Taifa stars,Katibu mkuu wa Tff na wachezaji kadhaa waliomsindikiza.

Kaseja amemshukuru makonda kwa kujitoa kwake baada ya kutimiza ahadi kwa muda mfupi huku akisisitiza pesa hiyo ni muhimu na itamsaidia katika kupambana na maisha.

Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

More in Makala