KCB,TFF Waingia Mkataba Kudhamini Ligi Kuu

0

Benki ya KCB imeingia mkataba wa udhamini wa ligi kuu Tanzaniabara na shirikisho la soka nchini(Tff) mkataba ambao umesainiwa leo .

Mkataba huo wenye thamani ya kiasi cha Shilingi milioni 500 ambao utadumu kwa muda wa mwaka mmoka ambapo benki hiyo itakua moja ya wadhamini wenza wa ligi hiyo wakiungana na Azamtv,Vodacom.

Hii ni mara ya nne kwa Benki hiyo kudhamini ligi kuu nchini ambapo Christine Manyenye Mkuu wa Idara ya Masoko wa KCB,  amesema:”Tuna furaha kubwa kwa kuingia mkataba na TFF wenye thamani ya milioni 500 na kodi ndani yake. Licha ya ugumu ambao upo kwa sasa kutokana na uwepo wa Janga la Corona ambalo limevuruga masuala ya uchumi.

Leave A Reply

Your email address will not be published.