Jesse Were Anukia Yanga sc

0

Imeripotiwa kwamba klabu ya Yanga sc ipo mbioni kumsajili Jesse Were kutoka Zesco United ya nchini Zambia baada ya kumkosa msimu uliopita kutokana na kuwa na mkataba mrefu na klabu yake.

Jesse raia wa Kenya anayekipiga nchini Zambia ni mshambuliaji anayejua kufunga na anatarajiwa kumaliza tatizo la ushambuliaji klabu klabuni hapo ili kuwapa raha mashabiki wa Jagwani.Mazungumzo ya kumsajili staa huyo yameshaanza huku ikisubiriwa dirisha la usajili kufunguliwa kukamilisha dili hilo.

Leave A Reply

Your email address will not be published.