Connect with us

Makala

Imani Ya Kane Ipo Namna Hii

Harry Kane anaamini kuwa atakuwa tayari kabisa kurudi uwanjani pindi tu ligi itakaporejea,kwani apo awali  alipata jeraha lililomuweka nje ya dimba kabla ya ligi kusimamishwa kutokana na Janga la Corona.

Mshambuliaji huyo wa klabu ya Tottenham Hotspurs mwenye umri wa miaka 27 ameifungia mabao 11 timu hiyo katika michezo 20 ya ligi kuu England aliyocheza huku akitoa asisti 2.

Tottenham Hotspurs ipo nafasi ya 8 katika msimamo wa ligi kuu England ikiwa na pointi 41 katika mechi 29 alizocheza huku Liverpool ikishika kinara kwa pointi 82 ikiwa nafasi ya kwanza.

Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

More in Makala