Connect with us

Makala

Gormahia Wapata Mrithi Wa Polack

Gormahia ambao ni mabingwa mara 19 wa ligi kuu ya Kenya (KPL) wamejinasia huduma za kocha mpya,Roberto Oliveira ambaye atakuwa mbadala wa mwingereza Steven Polack aliyejiuzulu usiku wa Octoba 8,akiwa likizoni Finland.

Oliveira ambaye anajivunia miaka takribani 25 ya ukufunzi ,amewahi pia kukinoa kikosi cha Rayon Sport ya nchini Rwanda na kudhibiti mikoba mbalimbali za timu ya taifa barani Afrika,klbu za uarabuni na vikosi vya ligi kuu ya Brazil.

Kocha huyo wa Brazil pia aliwahi kuiongoza Rayon Sport kuvaana na Gormahia kwenye mashindano ya CAF miaka mitatu iliyopita.

Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

More in Makala