Home Makala Eymael Anatarajia Mke Wa Tatu

Eymael Anatarajia Mke Wa Tatu

by Sports Leo
0 comments

Kocha mkuu wa kikosi cha Yanga Sc ,Luc Eymael ametoa taarifa kuwa atakaporudi nchini Ubelgiji ataoa mke wa tatu machi,28 siku ya Jumamosi baada ya kuwa tayari ameshaachana na wake zake wawili kwa sababu zisizozuilika.

Kocha huyo mwenye watoto wawili wa kike kutoka kwa wake zake wa awali ,mtoto wa kwanza ana umri wa miaka 33 sawa na jezi ya mchezaji wake Bernard Morrison.

“Nitaoa tena mke wa tatu tarehe 28 machi baada ya kuachana na wake zangu wa awali”alisema Eymael

banner

You may also like

Leave a Comment

Sportsleo Bongo ni tovuti ya kwanza na bora zaidi ya michezo nchini Tanzania, ikileta habari kwa Kiswahili, matokeo ya moja kwa moja, tetesi, na taarifa muhimu kuhusu soka, ndondi, riadha na michezo mingine ndani na nje ya Tanzania.

Edtior's Picks

Latest Articles

Sportsleo Bongo Developed and designed by Mediapix Limited