Diamond,Zuchu,Nandy Wang’ara Afrimma

0

Wasanii Diamond Platnums,Nandy pamoja na Zuchu wamefanikiwa kuibuka na tuzo katika tuzo za Afrimma Music Award wakiwashinda wasanii mbalimbali Afrika Mashariki.

Diamond Platnums ametwaa tuzo ya msanii bora wa kiume Afrika Mashariki huku Nandy ametwaa tuzo ya msanii bora wa kike Afrika Mashariki na Zuchu ametwaa ya msanii bora Chipukizi Afrika Mashariki.

Leave A Reply

Your email address will not be published.