Connect with us

Makala

Barcelona Kumuongezea Stegen Mkataba

Mabosi wa Barcelona kwa sasa wanampango wa kumuongezea mkataba kipa wake Marc-Andre ter Stegen ambaye mkataba wake unatarajiwa kumalizika 2022.

Malengo ya Barcelona ni kumpa mkataba ambao utaenda mpaka 2025 ambapo kipa huyo atakuwa amefikisha miaka 33 tangu asajiliwe na timu hiyo mnamo 2014 akitokea klabu ya Borussia Mönchengladbach ambayo inashiriki Ligi Kuu ya Ujerumani.

Taaarifa  ambazo Marca imeeleza kuwa makubaliano baina ya pande mbili yamefika  pazuri na huenda mambo yakiwa sawa staa huyo atasaini mkataba wake mpya.

Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

More in Makala