Bale Huyoo Spurs

0
Staa wa Real Madrid Gareth Bale na Sergio Reguilon wameondoka katika jiji la Madrid na kuelekea London ili kukamilisha usajili wao wa kujiunga na klabu ya Tottenham Hotspurs.
Taarifa za ndani zinaeleza kuwa Bale kasaini mkataba wa mwaka mmoja kwa mkopo kuitumikia klabu hiyo huku Reguilon akipewa dili ya kudumu kuungana na Jose Mourinho jijini London.
Kumbuka wachezaji hao wamefanyiwa vipimo wakiwa katika jiji la Madrid na kilichosalia ni kuwatambulisha kama wachezaji wa Tottenham Hotspur.

Leave A Reply

Your email address will not be published.