Ajax Wapoteza Tena Kwa Liverpool

0

Baada ya Ajax kuwakaribisha Liverpool kwenye uwanja wao wa nyumbani Johan Cruijff Arena wameambulia kuchapwa bao 1-0 na mabingwa hao watetezi wa ligi kuu England.

Bao la pekee la Liverpool lilipachikwa na Nicolas Tagliafico dakika ya 35 na kuwafanaya mabingwa hao watetezi kuchukua alama tatu pekee katika mchezo huo.

Liverpool ipo nafasi ya tatu katika msimamo wa ligi kuu England ikiwa na pointi kumi katika mechi tano ilizocheza.

Leave A Reply

Your email address will not be published.