-
Makala
/ 1 month agoYanga Sc Yamfukuzia Silla Kimya Kimya
Mabosi wa klabu ya Yanga sc wamevutiwa na uwezo wa winga wa Azam Fc Gibril Sillah ambaye mkataba wake uko mbioni...
-
Makala
/ 1 month agoCamara Nje Guinea Ikiivaa Uganda
Kipa wa klabu ya Simba Sc Moussa Pinpin Camara ameanzia benchi katika mchezo wa kuwania kufuzu michuano ya kombe la Dunia...
-
Makala
/ 1 month agoSimba Sc Yapambana Kupunguza Uchovu Mastaa
Uongozi wa klabu ya Simba Sc unafanya mawasiliano ya karibu na shirikisho la mpira nchini (TFF) ikiwezekana wachezaji wao walioko katika...
-
Makala
/ 1 month agoMvua Yaharibu Uzinduzi Airtel Stadium
Mvua iliyonyesha wakati wa mchezo wa Uzinduzi wa uwanja wa Airtel stadium mkoani Singida imesababisha kuvunjika kwa mchezo baina ya timu...
-
Makala
/ 1 month agoStars Yawasili Morocco Kukipiga J5
Timu ya Taifa ya Tanzania (Taifa Stars) imewasili salama nchini Morocco ambapo inatarajiwa kucheza siku ya jumatano na timu ya Taifa...
-
Makala
/ 1 month agoYanga sc Yawasili Singida
Msafara wa klabu ya Yanga sc umewasili salama mkoani Singida kuelekea mchezo wa kirafiki dhidi ya Singida Black Stars siku ya...
-
Makala
/ 1 month agoCoastal Union Yakabidhiwa Basi Jipya
Klabu ya soka ya Coastal Union yenye makazi yake jijini Tanga imekabidhiwa basi jipya aina ya Youtong na benki ya biashara...
-
Makala
/ 1 month agoKelvin John Atua Taifa Stars
Nyota wa Aalborg BK ya Denmark Kelvin John tayari amejiunga na kambi ya timu ya Taifa ya Tanzania ambayo imekita kambi...
-
Makala
/ 1 month agoStraika Mkenya Atimka Coastal Union
Nyota wa kimataifa wa Kenya Abdallah Hassan ameachana na klabu ya Coastal Union baada ya kufikia makubaliano ya Pande zote mbili....
-
Makala
/ 1 month agoYanga Princess Yaibuka Mbabe Kwa Simba Queens
Klabu ya wanawake ya Yanga sc imefanikiwa kuchukua alama tatu muhimu mbele ya Simba queens baada ya kuifunga kwa bao 1-0...