Kocha wa klabu ya Kaizer chiefs Nasredine Nabi ameonyesha nia ya kumsajili mshambuliaji Kibu Dennis kujiunga na klabu hiyo msimu ujao wa ligi kuu nchini humo. Nabi ambaye yupo nchini …
Sports Leo
Sports Leo
mwandishi wa habari hizi ana taaluma ya habari na mawasiliano kutoka chuo kikuu cha saut mwanza huku akiwa na uzoefu wa kuandika habari za michezo kwa zaidi ya miaka saba sasa.
-
-
Taarifa kutoka Yanga sc zinaeleza kwamba mazungumzo na Kocha Rulani Mokwena kujiunga na klabu hiyo yanaendelea vizuri ambapo kocha huyo ametoa masharti mbalimbali ili kukubali kujiunga na klabu hiyo. Hata …
-
Kocha msaidizi wa klabu ya Simba Sc Selemani Matola amekiri kuwa timu yake ya Simba Sc itakutana na mchezo mgumu itakapowavaa Singida Black Stars katika mchezo wa ligi kuu ya …
-
Mashindano ya pikipiki ya Samia Motocross Championship yanatarajiwa kurejea kwa msimu wa pili kuanzia Julai 12, 2025, katika viwanja vya Lakilaki, Kisongo, Mkoani Arusha baada ya kumalizika kwa Msimu wa …
-
Klabu ya Coastal Union ya Tanga imekamilisha usajili wa kiungo mshambuliaji wa klabu ya KenGold Fc Kiala Lassa ambaye amesajiliwa kama mchezaji huru baada ya kumaliza mkataba wake na klabu …
-
Winga wa klabu ya Simba Sc Joshua Mutale ameitwa kwenye kikosi cha timu ya taifa ya Zambia (Chipolopolo) kwa ajili ya michezo ya kirafiki ya kalenda ya Fifa. Mutale amerejea …
-
Kipa mkongwe Aishi Manula yupo mbioni kujiunga na klabu ya Yanga Sc kwa ajili ya msimu ujao wa ligi kuu na michuano ya Kimataifa baada ya makubaliano ya pande zote …
-
Mahakama Kuu ya Tanzania imeipa ushindi Azam Media Limited katika kesi ya madai ya haki miliki iliyofunguliwa na bondia Amos Mwamakula kutokana na kampuni hiyo kutumia wazo la mashindano ya …
-
Kikosi cha Simba kimerejea Dar Es Salaam leo Mei 26 kutoka Visiwani Zanzibar baada ya kupoteza taji la kombe la Shirikisho barani Afrika baada kufungwa kwa matokeo ya jumla ya …
-
Klabu ya Simba Sc imepoteza mchezo wa fainali ya pili ya michuano ya kombe la Shirikisho barani Afrika baada ya kukubali sare ya 1-1 dhidi ya Klabu ya Rs Berkane …